Header Ads

WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, WAPIGA KURA MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura za kumpata mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM kwenye ukumbi wa Dodoma Convention Center.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga kura za kumpata mgombea wa Urais  wa CCM kwenye ukumbi wa Dodoma Convention Center.

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) akipiga kura ya kumpata mgombea wa nafasi ya urais kupitia CCM.

 Wazee Maarufu.

 Wajumbe wakipiga kura.

 

No comments

Powered by Blogger.