DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na Baadhi
ya Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, (BAKWATA) na wananchi
katika swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye
Uwanja wa Shule ya Msingi Kalangalala, katika Halmashauri ya Mji wa
Geita, leo Julai 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Kaimu
Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally, baada ya kumalizika kwa
swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi,
Kalangalala, mkoani Geita, leo Julai 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia waumini wa
dini ya Kisslamu wakati wa swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri
iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kalangalala,
katika Halmashauri ya Mji wa Geita, leo Julai 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Kaimu
Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally, baada ya kumalizika kwa
swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi,
Kalangalala, mkoani Geita, leo Julai 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki swala ya
Sikukuu ya Eid El-Fitri na waumini wa Dini ya Kiislamu iliyofanyika
Kitaifa wa Mkoani Geita leo Julai 18, 2015.
Picha na OMR
Post a Comment