Header Ads

TIMU YA POLISI YA TANZANIA YANG'ARA MICHEZO YA SARPCCO SWAZILAND

unnamed (2)
Wanamichezo kutoka nchi mbalimbali wakishangilia kwa pamoja baada ya kumalizika kwa mbio za nyika (KM 10) katika mji wa Mbabane Swaziland ambapo michezo ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) inaendelea.wanariadha wa Polisi Tanzania walifanikiwa kushika nafasi tatu za mwanzo.

(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi-Swaziland)

No comments

Powered by Blogger.