Header Ads

MABONDIA WA KIKE LULU KAYAGE NA MWANNE HAJI KUZICHAPA KESHO


Promota Stamili Mmtengwa katikati akiwainuwa juu mabondia Mwanne Haji kushoto na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Iddi Mosi katika ukumbi wa Frends Corner  Manzese Dar es salaam.
Mabondia Mmwanne Haji kushoto na Lulu Kayage wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Iddi Mosi Katika ukumbi wa Frends Ccorner Manzese Dar es salaam.

Bondia Lulu Kayage akipimwa na Ddokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji.

Promota Stamili Mmtengwa katikati akiwainuwa juu mabondia Habibu Pengo kushoto na Yonas Segu.

Bondia Mwanne Haji akipimwa Afya na Dokta Michael Midadi.

Bondia Lulu Kayage akipimwa na Ddokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji.

No comments

Powered by Blogger.