MBUNGE NASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA LA KWA POLE,ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI NA VIPANDE 30 VYA NONDO
![]() |
Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi. |
![]() |
Ujenzi ukiendelea katika eneo la Kwa Pole. |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi . |
![]() |
Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole. |
![]() |
Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo. |
![]() |
Nassari akikabidhi Nondo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kwa Pole. |
![]() |
Nassari akitizama ujenzi unavyoendelea. |
Post a Comment