Header Ads

EDWARD LOWASSA AKABIDHIWA RASMI KADI YA UANACHAMA WA CHADEMA, AJIENGUA CCM

 WAZIRI Mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa, akionyesha kadi mpya ya CHADEMA, mara baada ya kukabidhiwa na mwenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Mh. Freeman Mbowe, kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
 
Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa akikumbatiana na mwenyekiti Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe katika hafla ya kumkabidhi kadi yake ya Uanachama kada huyo wa zamani wa CCM, aliyetimkia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Viongozi wanaounda Jumuiya ya Umoja wa katiba ya Wananchi Ukawa, wakiwa meza kuu na Mwanachama Mpya wa Chadema, aliyekuwa kada wa CCM, Edward Lowassa.

No comments

Powered by Blogger.