Header Ads

MAJAMBAZI WALIOTEKA KITUO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA WATIWA MBARONI

 Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam,  Kamishina Suleiman Kova akionyesha baadhi ya bunduki zilizoporwa katika kituo cha polisi cha Staki shari  ukonga leo wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam.
 
 Waandishi wa habari katika Mkutano ulioitishwa na  Kamanda wa Polisi wakanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
 
 Baadhi ya Bunduki zilizo porwa katika kituo cha Polisi cha Staki Shari Dar es Salaam zikionyeshwa kwa waandishi wa habari Dar es Salaam.
 
 Sehemu ya  Waandishi wa habari.
 
Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina
Suleimani Kova akizungumza na waandishi wa habari.
 
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina
Suleimani Kova akionyesha, fedha Tsh. Milioni 170, zilizokuwa zimechimbiwa shimo na majambazi hao zikiwemo na bunduki.
 
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina
Suleimani Kova akionyesha majina ya majambazi hao.
 
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina
Suleimani Kova akionyesha baadhi ya pikipiki zilizo kuwa zikitumiwa na majambazi hao.
 
Baadhi ya askari na waandishi wakimsikiliza Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishna Suleimani Kova alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

No comments

Powered by Blogger.