Header Ads

MDAIWA SUGU WA SHIRIKA LA NYUMBA NHC, ATOLEWA VITU VYAKE NJE JIJINI MBEYA

Madalali wa mahakama wakitoa vitu nje kwenye moja ya  wapangaji wa shirika la nyumba la Taifa (NHC)jijini Mbeya, ambao wamekuwa wakidaiwa na shirika hilo (Picha na David Nyembe)
Baadhi ya wananchi wakishangaa zoezi la utoaji wa vitu nje kwa mpangaji wa NHC ambaye amekuwa akidaiwa muda mrefu na shirika hilo.

No comments

Powered by Blogger.