Header Ads

JAJI FRANCIS MUTUNGI AJISAJILI KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA

MU1
Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi akiwa na kitambulisho chake mara baada ya kujiandikisha mapema Leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.

MU2
Mwandikishaji Msaidizi Bi. Maida Ally Yusufu akimsainisha Jaji Mutungi  fomu ambazo zimebeba taarifa zake kwa ajili ya kujiandikisha Leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.

MU3
Alama za vidole zikichukuliwa na Mwandikishaji Bw. Ernest Moses Selelya mara baada ya kukamilisha taratibu za ujazaji wa fomu ya utambulisho. 

MU4
Jaji Mutungi akipiga picha kwa ajili ya kitambulisho.

MU5
Mhe.Jaji  Francis Mutungi akipokea  kitambulisho cha mpiga kura kutoka kwa Mwandikishaji Bw.Ernest Moses Selelya.

No comments

Powered by Blogger.