Header Ads

EDMUND RUTARAKA AELEZEA MATARAJIO YAKE YA UBUNGE MOSHI MJINI

Katibu Msaidizi wa CCM ,manispaa ya Moshi,Donatha Mushi akimkabidhi Edmund Emanuel Rutaraka fomu ya kugombea nafasi ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini .Zoezi hili lilifanyika katika ofisi za CCM wilaya ya Moshi mjini.


Picha ya Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments

Powered by Blogger.