Header Ads

BONDIA WA KIKE LULU KAYAGE ALIVYO MSAMBALATISHA MWANNE HAJI

Bondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point. 
Bondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point.

Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwanne Haji wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya Idi mosi Manzese Dar es salaam Lulu Kayage alishinda kwa point.
Bondia Mwanne Haji akiwa amepozi.
Bondia Lulu Kayage akiwa amepozi.
Lulu Kayage na Mwanne Haji baada ya mpambano wao.
Ngumi ni mchezo wa Furaha ndio anavyosemekana kusema Mwanne Haji kulia wakati Lulu Kayage akipiga picha ya Pozi.

No comments

Powered by Blogger.