Header Ads

SERIKALI YAIMARISHA ULINZI WAKATI VIKAO VYA CCM, VIKIENDELEA MKOANI DODOMA

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU, wakiwa wameimarisha ulinzi kwenye barabara kuu inayopita jirani na makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM, mkoani Dodoma.
Askari wakiwa wameimarisha ulinzi Jirani na makao makuu ya CCM mjini Dodoma, ambako vikao vya juu vya chama hicho vikiendelea.
Wananchi wakiwa wamejikusanya jirani na makao makuu ya CCM, ili kufuatilia kwa ukaribu, juu ya kile ambacho kinaendelea hivi sasa katika kupata majina matatu ya watangaza nia ya Urais, ambayo yatapelekwa kupigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho.

No comments

Powered by Blogger.