Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene (wapili kulia) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama watatu kulia) bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Babati Vijijini Jitu Vrajlal Son, , Mbunge wa Bukoba Vijijini Jasson Rweikiza,Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Mbunge wa Korogwe Stephen Ngonya na Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto. |
Post a Comment