Benki Kuu ya TANZANIA tawi la Mbeya yasherehekea Miaka 50 Kwa Kufuturisha
| Wageni waalikwa ,viongozi wa serikali na viongozi wa dini mbalimbali mkoani Mbeya wakipita kupata futari kwenye ukumbi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la Mbeya. |
| Mkurugenzi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la mbeya Jovenant Rushaka akiongoza kupata futari. |
| Wafanyakazi benki kuu Tanzania tawi la Mbeya wakipata futari. |
| wadau wakipata futari.... |
Post a Comment