Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar ambae pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi wa Operesheni za Kiufundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar,
Maulidi Hassan Khamisi(kulia), bomba za pampu ya maji itakayotumika kuunganisha mtandao wa maji .Mradi huo una
umbali wa kilomita 3.5. ukiwa na lengo la kutatua kero ya maji jimboni hapo. |
Post a Comment