WATANZANIA WAOMBWA KUTEMBELEA BANDA LA ACCESS BENKI VIWANJA VYA SABASABA
Wafanyakazi wa Access Benki, Frida
Moshi akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea huduma
wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao
lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika
katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Access Benki,
Catherine Gyumi akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10
kuelezea huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika
banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa
yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam. Bi. Gyumi alisema kwa sasa benki yao imeanzisha huduma ya
‘ACCESSBANK WAKALA’ wanaomrahisishia mteja kutoa na kuweka pesa akiwa
mtaani kwake hakuna haja ya kwenda benki.
Afisa Mikopo wa Access Benki,
Mwajabu Mhone akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea
huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda
lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa
yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam. Ambapo Mhone aliwaomba watanzania kufika bandani kwao ili
kujipatia mikopo ya chap chap inayotolewa kwa wajasiliamali wadogo na
wakubwa.
Afisa Masoko Msaidizi wa Access
Benki, Humphrey Masudi akiwaomba watanzania wateja wa benki hiyo
kuitumia kikamilifu huduma ya ‘RAHISI’ inayomsaidia mteja kuweza kutoa
na kuweka pesa popote alipo kupitia simu yake ya mkononi… piga *150*43#
wakati akihojiwa na Channel 10 ndani ya banda lao namba nne lililoko
katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya
Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam. Pembeni kulia ni Ofisa Masoko wa benki hiyo, Sijaona
Simon.
Afisa Masoko Msaidizi wa Access
Benki, Humphrey Masudi akiwaomba watanzania wateja wa benki hiyo
kuitumia kikamilifu huduma ya ‘RAHISI’ inayomsaidia mteja kuweza kutoa
na kuweka pesa popote alipo kupitia simu yake ya mkononi… piga *150*43#
wakati akihojiwa na Channel 10 ndani ya banda lao namba nne lililoko
katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya
Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Access Benki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelewa na Kamera ya Kajunason Blog.
Wafanyakazi wa Access Benki wakisuburi kuhudumia wateja.
Kila mmoja akiweka mambo sawa….
Afisa Masoko Msaidizi wa Access Benki, Humphrey Masudi akiulizwa swali na mmoja ya wateja aliyetembea bandani kwao.
Post a Comment