MKUU WA JESHI LA POLISI, ERNEST MANGU AZINDUA NA KUKAGUA MIRADI YA POLISI MIKOA YA TABORA, TANGA NA SINGIDA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Ernest Mangu akizungumza na wajumbe wa Kamati ya ulinzi na usalama
mkoani Tabora wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa
huo.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe.Ludovick Mwananzila na Mkuu
wa Wilaya ya Tabora Mhe.Suleiman Kumchaya.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Ernest Mangu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Wodi ya wazazi
katika Zahanati ya Polisi Tabora wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi
katika mkoa huo.Kulia ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Tabora.IGP pia alitumia
ziara hiyo kuzungumza na Maafisa, wakaguzi na Askari wa mkoa huo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Ernest Mangu akiwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Polisi Dkt.Nyanda
wakitoka kukagua Wodi ya wazazi katika Zahanati ya Polisi Tabora baada
ya kuizindua wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa
huo..IGP pia alitumia ziara hiyo kuzungumza na Maafisa, Wakaguzi na
Askari wa mkoa huo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Ernest Mangu akiweka jiwe la msingi katika jengo la Kikosi cha
usalama barabarani mkoani Tabora wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi
katika mkoa huo ambapo pia alitumia ziara hiyo kuzungumza na Maafisa,
Wakaguzi na Askari wa mkoa huo.Kulia ni Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa
Tabora, Kamishna msaidizi wa Polisi, Juma Bwire.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Ernest Mangu akikagua ujenzi unaoendelea wa Kituo cha Polisi na
Makazi ya Askari Wilayani Ikungi mkoani Singida wakati alipokuwa katika
ziara ya kikazi katika mkoa huo.Katikati ni ni kamanda wa Polisi mkoa wa
Singida Kamishna Msaidizi wa Polisi Thobias Sedoyeka na Mkuu wa Polisi
wa wilaya ya Ikungi.
Kamanda wa Kikosi cha Ujenzi cha
Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi, Richard Malika
akimtembeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu kuangalia
ujenzi wa kituo cha Polisi wilayani Lushoto mkoani Tanga wakati
alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo.
(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi).
Post a Comment