Header Ads

Waziri NAPE NNAUYE akamata Wafanyabiashara Wanaodurufu Kazi za Wasanii


Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na mmiliki wa Hoteli ya Butterfly iliyopo Kariakoo jijini Dar es Salaam Bwana Phili Ulaya Mdolo ambaye anatuhumiwa kudurufu kazi za muziki na Filamu kinyume na Sheria kabla ya mmiliki huyo kukamatwa na vyombo vya dola.

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wanahabari baada ya kukagua na kumkamata Bw. Phili Ulaya Mdolo ambaye atatuhumiwa kudurufu kazi za muziki na filamu kinyume na Sheria.

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi (TRA) Bwana Richard Kayombo akiongea na wanahabari baada ya kukagua na kumkamata Bw. Phili Ulaya Mdolo ambaye atatuhumiwa kudurufu kazi za muziki na filamu kinyume na Sheria.

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye (kulia) akiwa katika moja ya mitaa ya Karikoo ikiwa ni ziara ya kukagua wafanyabiashara wanaodurufu kazi za wasanii wa muziki na Filamu kinyume na sheria.

(Picha na Benjamin Sawe)

No comments

Powered by Blogger.