Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA azungumza na Watumishi Wilayani Simanjiro

 Mkuu wa  Wilaya ya Simanjiro, Mhandisi  Zephania Chaula akisoma taarifa ya wilaya hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet  Februari 16, 2017 .

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya wilaya ya Simanjiro kutoka kwa Mkuu wa wilaya hiyo, Mhandisi Zephania Chaula baada ya kusomewa taarifa hiyo kwenye Ikulu ndogo ya  Orkesimet  akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari 16, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari 16, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari 16, 2017.

 Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri  ya wilaya ya Simanjiro wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara , Febuari 16, 2017. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.