Header Ads

Kituo cha Afya UBWARI Kilichopo Muheza chaendesha Zoezi la Tiba ya Macho Kwa Wananchi

MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katika akiingia kwenye kituo cha Afya Cha Ubwari leo wakati alipokwenda kuangalia zoezi la upasuaji wa macho kwa wakazi wa wilaya hiyo wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ya mtoto wa Jicho iliyoendeshwa na Taasisi ya Medewell Charitable Health Centre kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo,Mathew Mganga na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,Luiza Mlelwa.

 Baadhi ya wazee waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani.

 Baadhi ya wananchi waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani.

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akizungumza wakati wa zoezi hilo la upasuaji.

 MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa zoezi la upasuaji huo.

 MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wazee waliojitokeza kupatiwa huduma za upasuaji wa macho waliokuwa na matatizo ya mtoto wa Jicho.

No comments

Powered by Blogger.