Header Ads

TEA Yasaini Makubaliano ya Kufadhili Miradi ya Elimu na Kampuni ya Sunshine Group

Kaimu Mkurugenz Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Graceana Shirima na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sunshine Group Ltd  Sun Tao wakisaini mkataba wa makubaliano wa kufadhili miradi mbalimbali ya elimu kwa shule za Msingi na Sekondari leo Jijini Dar es Salaam.   

Miradi hiyo ni ujenzi wa madarasa, mabweni, viwanja vya michezo, vifaa vya kujifunzia na vifaa vya maabara itakayotekelezwa katika Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Mara na Mtwara.    

Kaimu Mkurugenz Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Graceana Shirima na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sunshine Group Ltd  Sun Tao wakibasilishana mikataba ya makubaliano wa kufadhili miradi mbalimbali ya elimu nchini mara baada ya kumaliza kuisaini leo jijini Dar es Salaam.

Watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) na Kampuni ya Sunshine Group Ltd wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments

Powered by Blogger.