Taswira kutoka Bungeni Mjini DODOMA
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba , bungeni mjini Dodoma Juni 6, 2016. |
| Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kushoto) akiteta na Waziri wa Elimu, Sayansi , Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni mjini Dodoma. |
| (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Post a Comment