Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA azungumza na Watumishi wa Halmashauri Mjini BARIADI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa halmashauri kwenye  ukumbi wa Kanisa Katoliki mjini Bariadi. 
Baadhi ya watumishi wa serikali, Halmashauri na taasisi za Umma wa Bariadi Mkoani Simiyu wakimsikiliza Waziri Mkuu,. Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwnye  ukumbi wa Kanisa Katoliki mjini Bariadi Machi 3, 2016. 

No comments

Powered by Blogger.