Viongozi wa UVCCM wafanya Ziara Katika Wilaya tatu za Jiji la Dar es Salaam
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga (wapili kulia), akiwasili kuzungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala. Kushoto ni Katibu wa UVCCM wilaya ya Temeke, Onesha Huruma na wapili ni Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga.
Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga akishauriana jambo na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga baada ya kuwasili ukumbini.
Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, wakiwa katika mkutano wa ndani na Asenga, uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, wakifuatilia kwa makini katika mkutano huo wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga akishauriana jambo na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga baada ya kuwasili ukumbini.
Katibu wa UVCCM wilaya ya Ilala na Mjumbe wa Baraza la UVCCM mkoa wa Dar es Salaam,, Muhsin Zikatim akifanya utambulisho kwa wageni.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akizungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo zaidi alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo zaidi na zaidi alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akifafanua jambo alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo kwa msisitizo mkubwa zaidi alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Vijana wakimsikiliza Asenga kwenye mkutano huo.
Vijana wakimsikiliza Asenga kwenye mkutano huo wa ndani.
Vijana wa UVCCM wakimsikiliza asenga katika mkutano huo uliojaa hamasa.
Katibu wa UVCCM wilaya ya Temeke, Onesha akizungumza kwenye mkutano huo.
Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga wakinukuu hoja za vijana kwenye mkutano huo.
Kijana akitoa dukuduku lake, ikiwemo namna ya kushiriki kwenye mitandao ya kijamii huku vijana mbalimbali wakikabiliwa na ukosefu wa fedha za kununua vocha za muda wa maongezi kwa ajili ya kusaidia CCM wakati wa kuchangia mada mbalimbali kwenye mitandao.
Vjana wa CCM wilaya ya Kinondoni wakimkaribisha, Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga alipowasili katika ukumbi wa Lango la Jiji Magomeni Dar es Salaam.
Katibu wa Uhamasishaji wa UVCCM wilaya ya Kinondoni Omari Mpeki akihamasisha wakati wa kumpokea ukumbini Asenga.
Asenga na ujumbe wake baada ya kuwasili ukumbini.
Vijana wa UVCCM Kinondoni wakiwa ukumbni.
Katibu wa UVCCM wilaya ya Kinondoni Pius Pukapuka akimkaribisha Asenga kuzungumza na Vijana.
Vijana wakiwa ukumbini.
Vijana wakiwa ukumbini.......
Katibu wa CCM wilaya ya Kinondoni akimkaribsha Asenga.
Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Sinza, Lusinga Mohammed akimpatia zawadi maalum, Asenga wakati wa mkutano wa ndani uliofanyika Lango la Jiji Magomeni.
Asenga akipokea zawadi hiyo ya hati maalum ya shukrani.
Pukapuka akizungumza........
Asenga akizungumza na Vijana wa UVCCM Kinondoni.
Katibu wa CCM Kinondoni akizungumza.
Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Sinza Lusinga Mohamed akifunga kikao.
Vijana wa CCM wilaya ya Kinondoni akimuaga Asenga wakati akiondoka baada ya mkutano huo wa ndani.
(Picha zote na Bashir Nkoromo)
Post a Comment