Header Ads

Serikali yabariki Mashindano ya Youth Development Cup 2016

 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akisalimiana na Mkurugenzi wa Ufundi wa kituo cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park Bw. Ray Power kilichopo Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 13,2016.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akisalimiana na wachezaji wa timu ya vijana ya Bom Bom kutoka Ilala kabla ya kuanza kwa fainali ya mashindano ya Youth Development Cup 2016 leo Oktoba 13, 2016.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya vijana ya Home Team Academy  kutoka Temeke kabla ya kuanza kwa fainali ya mashindano ya Youth Development Cup 2016 leo Oktoba 13,2016.

No comments

Powered by Blogger.