Warembo 30 Miss TANZANIA 2016 Watinga Kambini na Kupatiwa Somo la Awali


Mrembo anaeshikilia Taji la Miss Tanzania kwa sasa, Lilian Kamazima akizungumza na Warembo alipokutana nao leo Septemba 30, 2016 kwenye Hoteli ya Regency, Jijini Dar es salaam. ambapo jumla ya Washiriki 30 wameingia kambini leo tayari kwa maandalizi ya Shindano hilo linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa Mwezi ujao.


Warembo wakifanyiwa Usaili na viongozi wa Miss Tanzania.
Post a Comment