Header Ads

Rais wa Zanzibar Dkt SHEIN atembelea Kituo cha Redio cha ZBC mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiangalia ratiba ya vipindi mbali mbali vya Redio Zanzibar ZBC aliyopewa na Mtangazaji Suzan Kunambi,wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo katika ofisi za jengo la redio liliopo Rahaleo Mjini Zanzibar, (kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiuliza suala kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar, (wa tatu kushoto) wakati wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo katika ofisi za jengo la redio liliopo Rahaleo Mjini Zanzibar,(kulia) Mtangazaji Suzan Kunambi.

 (Picha na Ikulu)

No comments

Powered by Blogger.