Hiki hapa Kishindo cha Msimu wa tiGO FIESTA 2016 mkoani Morogoro
| Wasanii Vanessa Mdee na Juma Jux wakiimba pamoja kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa jana. |
| Chege akiburudisha maelfu ya mashabiki na wapenzi wa muziki mkoani morogoro katika Jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana Mkoani Morogoro. |
| FID Q akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro. |
| Mkali wa Dansi Christian Bella akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro usiku wa jana. |
| Msanii Manfongo akiwasha moto kwenyetamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. |
| Mr Blue katika ubora wake akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Morogoro katika uwanja wa Jamhuri. |
| Mkali wa Singeli akitoa burudani kwa mashabiki wake na wapenzi wa burudani walijitokeza katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro. |
| Mh. Temba akiwapagawisha wakazi na mashabiki wa mziki toka Morogoro katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana. |
| Vanessa akiwa na wacheza shoo wake katika kulivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro. |
Post a Comment