Header Ads

Mama Shujaa wa Chakula Watembelea Kijiji cha ENGUIKI na Kushiriki Shughuli za Kijamii


Baadhi ya  washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa Tano wakiwa wanajiandikisha katika Ofisi ya Kijiji cha Enguiki Monduli Mkoani Arusha. 

Bakari Kivuyo Mwenyekiti wa Kijiji cha Enguiki akitoa maelekezo kwa washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa chakula (hawapo pichani) namna ya kujaza taarifa zao katika Kitabu.

 Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na Shirika la Kimataifa la Oxfam Tanzania  wakiwa wanaongea na Bakari Kivuyo Mwenyekiti wa Kijiji cha Enguiki (hayupo Pichani) wakati walipokwenda kujiandikisha.

Mwalimu Mkuu Msaidizi  Shule ya Msingi ya Enguiki Lucia Kessy akiwakaribisha Mama Shujaa wa Chakula shulemi hapo.

 Mwalimu Mkuu Msaidizi  Shule ya Msingi ya Enguiki Lucia Kessy (wa kwanza kulia) akiwaelekeza Mazingira ya Shuleni hapo wakati Mama Shujaa walipoitembelea.

 Wakiendelea kupata Taarifa.

Rashid Mohamed Mkuu wa kituo cha Polisi(OCS) Monduli juu akiongea na Washiriki wa Shindano la  Mama shujaa wa Chakula walipotembelea kituoni hapo.

Rashid Mohamed Mkuu wa kituo cha Polisi(OCS) Monduli juu akiendelea kuongea na washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula.

Rahel Mrema Mganga Kiongozi Zahanati ya Monduli Juu (wa kwanza kushoto) akiongea na washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula.

 Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula wakiwa wanafanya usafi katika Zahanati hiyo

Kupata taarifa zaidi Tembelea www.facebook.com/mamashujaa

No comments

Powered by Blogger.