Header Ads

Rais Dkt SHEIN afanya ziara ya Kushtukiza Gazeti la ZANZIBAR LEO Mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ramadhan Makame (kushoto) wakati alipofanya ziara ya ghafla katika Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja,​(wa kulia) katibu Mkuu wa Wizara ya Habar,Utalii,Utamaduni na Michezo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Gazeti la   Zanzibar leo wakati alipofanya ziara ya ghafla ya kutambelea katika Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chumba cha watayarishaji wa Gazeti la   Zanzibar leo Nd,Rabia Bakari (katikati) wakati alipofanya ziara ya ghafla katika Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja,​(kulia) Mhariri Mkuu wa Gazeti la   Zanzibar leo Nd,Ramadhan Makame.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habar,Utalii,Utamaduni na Michezo,Nd Omar Hassan Omar akitoa maelezo kwa 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia).

No comments

Powered by Blogger.