Header Ads

Watumishi wa Umma Waaagizwa kuwa na Vitambulisho vya Taifa Ndani ya Siku 14


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya Habari kuhusu zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Rais-Utumishi.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusu  zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Rais-Utumishi.
Kaimu Mkurugezi wa TEHAMA wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Bw. Mohammed Khamis akiwaonesha waandishi wa habari aina ya kitambulisho cha taifa kitakachotolewa na NIDA wakati wa mkutano wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na Vyombo vya Habari uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Rais-Utumishi.


No comments

Powered by Blogger.