Maadhimisho ya Wiki ya Nenda Kwa Usalama yafanyika Kitaifa Mkoani GEITA
![]() |
Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani Hamad Masauni (Mb) akisalimiana na mmoja wa walemavu aliyejitokeza kushiriki
katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa
Usalama Barabarani kitaifa, Mkoa wa Geita.
|
![]() |
Kikosi cha Brass Band
kutoka Serengeti Mkoani mara kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya wiki ya
Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo kitaifa yamefanyika mkoa wa Geita.
|
![]() |
Waendesha pikipiki
(boda boda) mkoa wa Geita wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya wiki ya
nenda kwa usalama kitaifa.
|
Post a Comment