Header Ads

( VIDEO ) Jeshi la Polisi limeondoa Katazo la Mikutano ya Ndani ya Vyama vya Siasa

Nsato Msanzya - Kamishna wa Jeshi la Polisi, Oparesheni na Mafunzo

Agost 24 Mwaka huu, Jeshi la Polisi lilipiga marufuku vikao vya ndani vya Vyama vya Siasa baada ya baadhi ya vyama vya siasa kudaiwa kutumia mikutano hiyo kujadili ajenda za kichochezi zenye kujenga chuki na serikali.

Hii leo Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi NSATO MARIJANI amejitokeza na kutangaza kuondoa katazo hilo.

Kuondolewa kwa katazo hilo, haimaanishi kuwa mikutano ya hadhara na maandamano yataendelee kufanyika.

No comments

Powered by Blogger.