Header Ads

Hatiamae Filamu ya "MBINGU YA WAKOSEFU " yaingia Mtaani

 Hii ndio Filamu yenyewe ya Mbingu ya Wakosefu.
  
Ili kupata nakala yako tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia namba 0713455232

 Mkurugenzi Mkuu wa Mwamba's Film Casting  Stephen Mapunda akiwa na CD za Mbingu ya Wakosefu.

 Msimamizi Mkuu wa Blogs za Mikoa Tanzania Fredy Anthony Njeje  akiwa na DVD zake za Mbingu ya Wakosefu.

 Mmoja wa vijana wa Mwamba's Film Casting Montana akiwa tayari kuelekea kusambaza DVD hii sehemu mbalimbali.

 Faith anakwambia "Bado haujachelewa kupata nakala yako ya Mbingu ya Wakosefu ambayo ambapo utajifunza mengi".

Waaaah.....
Watembelee hapa http://mwambasfilmcasting.blogspot.com  kuona Shughuli zao za mazozi
Picha zote na Fredy Njeje

No comments

Powered by Blogger.