Kishindo cha tiGO FIESTA 2016 chatikisa Jiji la TANGA
| Roma Mkatolili akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika Tamasha hilo liliofanyika katika viwanja vya Mkwakwani Jijini Tanga usiku wa Ijumaa . |
| Nahreel na Aika toka Kundi la Navykenzo wakilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Mkwakani Jijini Tanga. |
| Shetta akiwa na wacheza wake akitoa burudani kwa maelf ya mashabiki waliojitokeza katika Viwanja vya Mkwakwani usiku wa Ijumaa. |
| Kundi la weusi wakitoa burudani na michano ya nyimbo zao kali kwa wapenzi wa muziki waliojitokeza katika Tamasha la burudani la Tigo Fiesta jijini Tanga. |
| Barnaba akiwa kwenye jukwaa la Tigo fiesta uwanja wa Mkwakwani Tanga usiku wa ijumaa hii. |
| Benpol akitumbuiza kwa Style ya Mduara na wacheza shoo wake. |
| DOGO JANJA naye akiwakonga wapenzi wa muziki waliojitokeza katika Tamasha la Tigo fiesta. |
| Makomandoo wakionesha umahiri wao wa kumiliki jukwaa. |
| Maua Sama naye aliwakonga nyoyo wapenzi wa burudani waliojitokeza kwa wingi katika Tamasha la Tigo Fiesta jijini Tanga. |
| Nay wa Mitego akilivamia jukwaaa la Tigo Fiesta katika Tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Mkwakani usiku wa ijumaa wiki hii. |
Post a Comment