Waziri wa Afya UMMY MWALIMU atembelea Hospitali za Wilaya ya Mwanga na Same
| Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu akikagua hospitali ya wilaya ya Mwanga,kulia (mwenye sweta) ni Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt.Daniel Chacha. |
![]() |
| Waziri Ummy Mwalimu akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa,Wilaya na baadhi ya watumishi wa hospitali ya Wilaya. |
![]() |
| Waziri Ummy Mwalimu akizungumza na baadhi ya wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali ya Wilaya Usangi. (Picha na Wizara ya Afya) |



Post a Comment