Wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya wala Kiapo
![]() |
|
Kamishna wa Maadili Kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi
wa Umma Mhe. Jaji
(Mst.) Salome Kaganda akiongea akiongea na wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa,Miji na Wilaya walioteuliwa hivi karibuni na kusisitiza kuzingatia maadili katika kipindi chao cha uongozi wakati wa hafla ya uapishwa wa kiapo cha Ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma kwa wakurugenzi hao.Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
|
Picha na Hassan Silayo













Post a Comment