Header Ads

Dkt MAGUFULI afanya Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya KONGWA, Dodoma

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi akitangaza uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Deogratius John Ndejembi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. 

No comments

Powered by Blogger.