Wizara ya Afya yatekeleza Agizo la Rais Dkt JOHN MAGUFULI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
![]() |
Mashuka
yakishushwa kwenye gari tayari kwa kupelekwa kwenye wodi mpya ambayo ilikuwa
ikitumika kama ofisi hapo awali.
|
![]() |
Magodoro
yakishushwa kwenye gari kama inavyoonekana pichani.
|
![]() |
Mafundi
wakiendelea kufunga vitanda vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
|
![]() |
Waauguzi
wakitandika vitanda hivyo kama inavyoonekana.
|
![]() |
| Muuguzi akipandisha Kitanda ili kiweze kuanza kutumika. |
![]() |
Wagonjwa
wakiwa wamelala mara baada ya kufungwa kwa vitanda hivyo.
|
![]() |
| Muuguzi akimfunika mgonjwa kama inavyoonekana mara baada ya kufungwa vitanda hivyo. |








Post a Comment