Header Ads

Waziri wa Habari NAPE NNAUYE afanya Mazungumzo na Viongozi wa COSOTA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Mhe. Nape  Nnauye akiongea na viongozi wa COSOTA na  wa  Kampuni ya  Copyright  Management  Eas t  Africa kuhusu mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi.
Picha na Benjamin Sawe- WHUSM
Mkuu wa uendeshaji wa Kampuni ya  Copyright  Management  Eas t  Africa  Bw. Abdi Zagar aliesimama akimuelekeza  Mhe.  Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni ya  Copyright  Management  Eas t  Africa Bw. Paul Matthysse .
Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni ya  Copyright  Management  Eas t  Africa Bw. Paul Matthysse  kulia akimuelekeza Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi.

No comments

Powered by Blogger.