Header Ads

MICHUANO YA MASAUNI CUP YAZIDI KUTOA BURUDANI ZANZIBAR

Viongozi wa meza kuu wakifuatiliac mchezo huo kati ya Muembeladu na Kisimajongoo katika Bonaza la kukuza Vipaji kwa Vijana lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Masauni. na kutoa Ofa kwa mchezaji Bora kupata fursa ya kusoma Kozi ya Computer katika Kituo cha Vijana cha TAYI.
 
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akimpita mchezaji wa timu ya Kisimajongoo.timu ya Muembeladu imeshinda mabao 4–1.
 
  Mchezaji Amour Janja akiwapita wachezaji wa timu ya Kisimajongoo.

No comments

Powered by Blogger.