TUNATAKA BAJETI YENYE MRENGO WA KIJINSIA-TGNP
Pichani ni Mkurugenzi wa TNGP Mtandao Be Liundi akizungumza na waandishi wa Habarikwenye Semina iliyoandaliwa na TNGP |
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umesema kuwa hautakuwa tayari kuunga mkono watia nia au chama chochote cha siasa ambacho katika sera zake hakitaonyesha mrengo wa kijinsia katika kutetea haki za wanawake,watoto, Walemavu na vijana.Anaandika .
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji TGNP,Lilian Liundi wakati wa warsha ya siku mbili ya waaandishi wa habari iliyolenga kujenga uelewa wa pamoja kuhusu dhana ya kijinsia.
Amesema, kuwa ni vema vyama vya siasa vikaweka uwiano sawa katika rasilimali zinatumika kutangaza nia ili kuwapa fursa wanawake walionauwezo wa kuongoza na hawana rasilimali za kutosha kutangaza nia.
Ameongeza, kuwa TGNP aitakuwa tayari kuwaunga mkono wanasiasa ambao hawataonyesha nia ya kutatua matatizo ya kijinsia.
"Tunataka watamke rasmi kwamba nafasi moja wapo kati ya 3 za juu kwa watakao shika madaraka zichukuliwe na wanawake....namaanisha Waziri mkuu,Makamu wa Rais au Rais awe mwanamke,"alisema Liundi

Post a Comment