Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA azindua Benki ya Uchumi Commercial, Karatu

 Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kufungua Benki ya Uchumi Commercial tawi la Karatu Desemba 5, 2016. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea Benki ya Uchumi Commercial, tawi la Karatu  baada ya kuifungua Desemba 5, 2016. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa  Bodi ya Benki ya Uchumi Commercial, tawi la  Karatu baada ya kuifungua Benki hiyo Desemba , 2016. Wapili kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments

Powered by Blogger.