Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa
Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika
Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. |
Post a Comment