Header Ads

Profesa MAKAME MBARAWA ahudhuria Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea ya Kusini

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wageni waliohudhuria Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa waliohudhuria Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika hafla hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia, na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Song, Geum-young (katikati), wakikata keki kama ishara ya kujenga mahusiano mema baina ya nchi hizo mbili katika Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.


No comments

Powered by Blogger.