Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA azungumza na Wananchi Wilayani RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha  Matambalale  katika jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai  15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa kijiji  cha Chunyu  kabla ya kuwasalimia wananchi akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa, Julai 15, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaslimia wananchi wa kijiji cha Mihewe kabla ya kuzungumza nao akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai 15, 2016.
Mke wa Waziri Mkuu,Mary Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Mihewe  akiwa ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye ziara ya jimbo la Ruangwa Julai 15, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.