Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA akagua Shule Iliyoungua Moto Mkoani LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maabara na madarasa yaliyoungua kwa moto katika shule ya sekondari ya Lindi akiwa katika ziara ya mkoa huo Julai 14, 2016  Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.