Header Ads

Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM yamekamilika Mjini Dodoma


Maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23, 2016 mjini Dodoma yamezidi kuiva.


Taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam, ikiwa imesainiwa na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye imesema, mkutano huo utatanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halimashauri Kuu ya Taifa ya CCM (CC) kitakachofanyika Julai 21, 2016, na kufuatiwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) siku ya pili, Julai 22, 2016.



No comments

Powered by Blogger.