Header Ads

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MATUKIO MBALIMBALI

p1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akislimiana na wazee wa Mtwara baada ya kufunga maaadhimisho ya Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania  (ALAT) mjini Mtwara Julai 1, 2015.

p2 p3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  wahandisi na mafundi wa Kichina wanaojenga mtambo wa kuchakata gesi  kwa gharama za serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneo la Madimba mkoani Mtwara Julai 1, 2015.

p4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mtambo wa kuchakata gesi  unaojengwa na serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba mkoani Mtwara Julai 1, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dendego.

p5
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akifurahia katika mazungumzo kati yake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa , Benard Mbembe (katikati) na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Meck Sadik kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya kumpokea Waziri Mkuu wa Ethiopia  Hailemariam DesalegnJulai 1, 2015.

p6
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsindikiza Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn  ambaye anapunga mkono  wakati mgeni huyo alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja Juni 2, 2015.

p7
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsindikiza Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn  ambaye anapunga mkono  wakati mgeni huyo alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja Juni 2, 2015.

p8 p9
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri Mkuuwa Ethiopia,   Hailemariam Desalegn  wakati mgeni huyo alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja Juni 2, 2015.

p11
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na fundi cherehani Abdallah Nyangalilo ambaye ni mlemavu asiyoona  wakati alipotembelea bada la mlemavu huyo katika maoyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam Julai 3, 2015.
 
p13
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  fundi cherehani Abdallah Nyangalilo ambaye ni mlemavu asiyoona  wakati alipotembelea bada la mlemavu huyo katika maoyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam Julai 3, 2015. 

(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.