Header Ads

WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, WAKUTANA KWA DHARURA JIJINI DAR ES SALAAM

yo1

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakati wa mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya hiyo uliofanyika ikulu jijini Dar es salaam leo.
 
yo2
(picha na Freddy Maro)





No comments

Powered by Blogger.